Tubonge - Jose Chameleone

Tubonge

3.9 of 5 stars
278 votes
Download the Howwe Music App
Howwe App

Share this Song

Tubonge Lyrics

IntroTubonge, Chameleone anaomba tubongeMungu Baba, we long deGospel time now, ooh Lord…Verse 1Mi na wewe wa kweli, katika wote ninaye ni weweAna nipenda Chamili, bila kipimo unanipenda hakuna kiasiNingependa nikuone nikupe, vyote vyangu, nikupe chochoteUnachotaka chochote upate, lakini sina namna ya ku kupataBridgeUngekua na fasi una ishi, hata ingekuwa mbali vipiNingekuja nikuone wewe, ungekua na nambari ya simuFacebook au Twitter, lakini hata sura yako uli ificha!ChorusNjo… Nimesubiri sana lini tutaonanaNjo… I don’t know what to do, to do, I’m waiting for youNjo… Nimesubiri sana lini tutaonanaNjo… Rafiki wa kweli, rafiki mileli kweli!Verse 2Rafiki ninemupa sasa tuuzo, anaa siri zangu nyingi si ogopi matesoHao wabishi hawanitishi na mawazo, ninae ninaeNkiwa kwangu sasa misitaki fujo, nikiwa naye yesio kupiga devilPaddy man ongeza bass na treble, nimtajje kama ninae ntampata naazo(Bridge)(Chorus)Tubonge, Chameleone anaomba tubongeMungu Baba, we long deGospel time now, ooh Lord…Verse 3Njo nikupe kyoyote unataka, hatuja kutana mina fufataNjo… nikukaribishe kwangu, njo… nikupikie chakula taamuNaomba nikuwoneshe na wato wangu, njo… nikuwoneshe baba, mama wanguNikuwoneshe marafiki zangu, name na moyo wangu(Bridge)(Chorus) X2

Top Songs

MSport